FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

BRO ACHANA NAO YANI MAKOLO HUWA YANAONGEA KIUSHABIKI ZAIDI KULIKO UHALISIA
Hebu tuambie mapungufu ya Yanga aliyopelekea kupigwa goli mbili bila majibu kama kweli wewe unajua kuongea kiuhalisia.
 
Kama hii ninayo iona kipindi Cha kwanza ndio Simba inayotarajiwa kutoa Changamoto Kwa Yanga, Nashauri kocha nabi akanywe bia za kutosha na kupumzika.
Tuwasubiri kuwaona Azam au Singida, Simba haitakuwepo kwenye ushindani.
 
Mkuu ngoja tuone kipindi Cha pili. Wakiingia wangine. Ila hawa walionza first half hamna timu. Jumomosi tunawalaza saa 1 jioni watu na viriba tumbo vyao!
 
Marehemu alizaliwa 1935 ,akaishi jangwani na kuishi kwa tabu kwa mafuriko,ila alikuja kufa hapa hapa taifa kwa risasi mbili
 
Back
Top Bottom