OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #321
Huyu Kanuti vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni timu kubwa sana.. iko juu ya Vipers na UtopoloTUKIACHA USHABIKI SIMBA ANACHEZA VIZURI LAKINI TIMU ANAYOCHEZA NAYO NI MBOVU YANI NI KAMA MAJIMAJI ILIYOCHANGAMKA
VIONGOZI WA SIMBA WANAFOSI KUWAPA MASHABIKI FURAHA
Hata wakati Vipers wanakuja mliwaita vibonde najua wakisawazisha na kuongeza kisha wakashinda, hawatakuwa vibonde tena.[emoji23].TUKIACHA USHABIKI SIMBA ANACHEZA VIZURI LAKINI TIMU ANAYOCHEZA NAYO NI MBOVU YANI NI KAMA MAJIMAJI ILIYOCHANGAMKA
VIONGOZI WA SIMBA WANAFOSI KUWAPA MASHABIKI FURAHA
Mm mwenyew nawasubiri mrejesho waoHuyu Kyombo mtakuja kubadili kauli zenu, ni bonge la player.
Huwa kama anakitete hivi...Kanoute huwa anapanic sana team inapokuwa pressed, kuna pasi huwa anatoa ni fyongo sana.
Huwa anakosa utulivu kwenye zile pasi za haraka-haraka, hasa team ikiwa pressed.Huyu Kanuti vipi
Tupe nafasi ya St.George na Utopolo ranking za CAFTUKIACHA USHABIKI SIMBA ANACHEZA VIZURI LAKINI TIMU ANAYOCHEZA NAYO NI MBOVU YANI NI KAMA MAJIMAJI ILIYOCHANGAMKA
VIONGOZI WA SIMBA WANAFOSI KUWAPA MASHABIKI FURAHA
Mkuu unaangalia mpira kweli?Wazima ni mabingwa wa vipers walioshinda sekunde ya 30.
Watu wapo CAF unasema wabovu, pungumoja.
Na kuna mechi na Asec ile ya away, goli lilitokana na pasi yake ya kitete.Huwa kama anakitete hivi...
Kwa mpira huu tarehe 13 tunawanywa mchuziKocha Zoran Maki anaonekana hapendi kuanzisha mpira nyuma, kocha wa kizamani huyu nyambafu.
Pia Gendamarie ya Niger...Na kuna mechi na Asec ile ya away, goli lilitokana na pasi yake ya kitete.