FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

Naona Shabalala ,Kanuti ,na Mwenda kama wanafeli leo
Sana dogo Mwenda ndo anazingua sana, asilimia 90 ya kona ni upande wake, Kanoute naye anapwaya hapo katikati.
 
Mkuu unaangalia mpira kweli?
Wewe unaona changamoto yoyote ya kiufundi wanayoitoa kwa Simba?
Wapo tu wanakimbizana bila mpgangilio
We unaangalia mpira tofauti na sisi,ni vizuri ungetulia kuangalia kwenye huo mpira mwingine,huwezi kuangalia mechi moja kwa wakati moja au labda una matatizo ya macho
 
Mkuu unaangalia mpira kweli?
Wewe unaona changamoto yoyote ya kiufundi wanayoitoa kwa Simba?
Wapo tu wanakimbizana bila mpgangilio
Wao na uto nani yuko juu CAF?

Changamoto wanazitoa lakini hazifikia ubora wa simba ya leo.
 
Mkuu unaangalia mpira kweli?
Wewe unaona changamoto yoyote ya kiufundi wanayoitoa kwa Simba?
Wapo tu wanakimbizana bila mpgangilio
BRO ACHANA NAO YANI MAKOLO HUWA YANAONGEA KIUSHABIKI ZAIDI KULIKO UHALISIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…