Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Sana dogo Mwenda ndo anazingua sana, asilimia 90 ya kona ni upande wake, Kanoute naye anapwaya hapo katikati.Naona Shabalala ,Kanuti ,na Mwenda kama wanafeli leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana dogo Mwenda ndo anazingua sana, asilimia 90 ya kona ni upande wake, Kanoute naye anapwaya hapo katikati.Naona Shabalala ,Kanuti ,na Mwenda kama wanafeli leo
We unaangalia mpira tofauti na sisi,ni vizuri ungetulia kuangalia kwenye huo mpira mwingine,huwezi kuangalia mechi moja kwa wakati moja au labda una matatizo ya machoMkuu unaangalia mpira kweli?
Wewe unaona changamoto yoyote ya kiufundi wanayoitoa kwa Simba?
Wapo tu wanakimbizana bila mpgangilio
Mohamed Husein hata game ya Taifa Stars (CHAN) Vs Somalia alicheza hovyo sana.Naona Shabalala ,Kanuti ,na Mwenda kama wanafeli leo
Wao na uto nani yuko juu CAF?Mkuu unaangalia mpira kweli?
Wewe unaona changamoto yoyote ya kiufundi wanayoitoa kwa Simba?
Wapo tu wanakimbizana bila mpgangilio
Labda mje na mpira tofauti na ule mliocheza na Vipers.Kwa mpira huu tarehe 13 tunawanywa mchuzi
Bila shaka ni St Joyce wa utopolo.HII NI ST GEORGE AU ST KAYUMBA
Ni St. Vipers mkuuHII NI ST GEORGE AU ST KAYUMBA
Kabla ya usajili niliwahi kusema upande wa kushoto kuna shida nikafokewa Sana.Naona Shabalala ,Kanuti ,na Mwenda kama wanafeli leo
Nafikiri ni Transit Camp.HII NI ST GEORGE AU ST KAYUMBA
BRO ACHANA NAO YANI MAKOLO HUWA YANAONGEA KIUSHABIKI ZAIDI KULIKO UHALISIAMkuu unaangalia mpira kweli?
Wewe unaona changamoto yoyote ya kiufundi wanayoitoa kwa Simba?
Wapo tu wanakimbizana bila mpgangilio
Ujinga wenu mikia ndo huu!Kanute atolewe, kwanza kwa nini amebaki?
Uhalosia ni upi wewe Chura...BRO ACHANA NAO YANI MAKOLO HUWA YANAONGEA KIUSHABIKI ZAIDI KULIKO UHALISIA