FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

Yes kiingilio ni BUKU 5 sasa utashindwa kujaza uwanja mapema tu??? Yanga wao kiingilio kidogo ni 10000 yaan kwa kifupi tu ni kwamba kwenye mtu mmoja wa Yanga basi kwenye Simba wataingia wawili.
So what!? Yanga mnapenda kujilinganisha sana na simba. Simba imeanza matamasha haya miaka 14 iliyopita.
 
Yes kiingilio ni BUKU 5 sasa utashindwa kujaza uwanja mapema tu??? Yanga wao kiingilio kidogo ni 10000 yaan kwa kifupi tu ni kwamba kwenye mtu mmoja wa Yanga basi kwenye Simba wataingia wawili.
Ilifika muda gate lilikua wazi, watu waliingia buree tyuuh. Lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulitaka wasimiminike tiket zinauzwa elfu tano tano
 
Game la wanaume saa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…