Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mremboByuti byuti walipo huko wanapiga ngumi upepo
Hii ndio inapaswa kuwa first eleven, tulikuwa tumezidiwa sana hapo katikati.57'
Chama, Akpan, Okwa IN
Kibu, Okra, Kanoute OUT
Hello hello mwanaLIVAWe mrembo
Kanoute huwa anapanic sana team inapokuwa pressed, kuna pasi huwa anatoa ni fyongo sana.
Njoo basi PM tuongee.Hello hello mwanaLIVA
Wanabana mbupu[emoji23].Byuti byuti walipo huko wanapiga ngumi upepo
Wamebana mbupu tuvunje rekodi yao ya kufungwa ndani ya sekunde 60 teh!Wanabana mbupu[emoji23].