ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
- Thread starter
-
- #481
Kwenye mechi yoyote CCM wakishajiweka huwa tunafungwa, iwe sisi, Gongowazi au Stars.Chalamla analeta siasa
Yaani ni 🚮🚮 siasa siasa...Hizi siasa za nini sasa🚮🚮
Hayo umesema wewe, na kwakua wewe sio LOLOTE wala CHOCHOTE PLEASE pale Simba Sc na Tanzania kwa ujumla, sidhani kama ahadi ya MO itabadilika.Siyo rahisi... kihivyo.