Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Na sioni daliliHatutakiwi kupoteza hii game.
Naona kama wachezaji bado hawajatulia hivi.Sasa hivi tunawapiga kidude
acha ujingaWenye akili mmegundua nini pale mama alivyokua anaongea ......raia hawamtaki mama au inakuwaje
Ni sababu ya bandari au wanasimba wanahisi mama ni mwananchi