ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
- Thread starter
-
- #601
Au ngomaILA MAMA AMEPUNGUA!!
SIJUI ANAWAZA NINI[emoji849][emoji849]
mwenyewe nimeliona hilo..,simba wameamua kumwaga majiHapa simba Sc imepata player, magoli ya ulaya kabisa halafu kama hajali hivi.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kama watashinda ile mechi yao ya awali tutakutana nao kwenye mechi ya kiushindani CAFCL, tutawaambia walegeze pia.Wageni itakua huwa wanaambiwa walegeze,wasikaze.
Onana heee Onana heee.. majina ya mpira haya.. nimemkumbuka Pepe Kalle na ule mziki wakeOnanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa