Huwa wanaanza hivyohivyo,mwishowe medali zinaletwa na si makombe.Simba hii sio ya kuomba mechi iishe yani unatamani kuiangalia...
Vivaaaaa Simba vivaaa
Timu kubwa level za ahly, widady na mamelodyTimu yenye kiwango cha African Super league
[emoji3][emoji3][emoji3]Mmemuona Scars Onana huko???
Kaamua kukimbia leoEti Chama hana speed, nani kasema?