FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

Hako ka kikosi ka uto ka jana kalijua kanacheza na timu dhwaifu bin haliii..basi wanajiona wamecheza na timuu
..eti wanajisifia kikosi B hahahahahaah
IMG-20240105-WA0008.jpg
 
Walisemaaa chamazi hatuna neema nayoooooo

sasaaaaa

na huuuu NEWAMANI Msishangae kusikiaaaa mmh huu hatunaa ASHURA NAOOOOO

NA BADO MTASEMA...HUUYU KOCHA ANA MAAMUZI MAGUMU YAHATARR NIPENI MARCH MTANIAMBIA KAMA YUKO SIMBAA

NIKO PALEKWAMANGIIIIINAMZOOOOOO.
 
Tunavyosema hakuna wa kumuondoa Chama pale Simba kwaSasa ni kwenye mechi kama izi.
Simba kwasasa hawajapata mbadala wa Chama, wanahangaika kama kuku aliye katwa kichwa.
Ulikua wapi mwanzo wa uzi au ulijificha kwa sbb unijua Simba mashine kubwa...lolote linaweza kutokea?
 
Tunavyosema hakuna wa kumuondoa Chama pale Simba kwaSasa ni kwenye mechi kama izi.
Simba kwasasa hawajapata mbadala wa Chama, wanahangaika kama kuku aliye katwa kichwa.
💯 💯 💯

Pata sayonaaa 5 ntalipaaaa mkuuu
 
Walisemaaa chamazi hatuna neema nayoooooo

sasaaaaa

na huuuu NEWAMANI Msishangae kusikiaaaa mmh huu hatunaa ASHURA NAOOOOO

NA BADO MTASEMA...HUUYU KOCHA ANA MAAMUZI MAGUMU YAHATARR NIPENI MARCH MTANIAMBIA KAMA YUKO SIMBAA

NIKO PALEKWAMANGIIIIINAMZOOOOOO.
Utasubiri sanaaa...Simba moto ndo umewaka..kwani kuna nini cha kumtoa kocha...labda mumtoe yule para wenu
 
mrudi mkajitafakari ujinga mliochezaa leo
 
Zamani tukishinda mnasema hatuna furaha ila siku hzii hata tukifungwa tuna furaha tunaona timu yetu ina vitu yani ipo na vitu vya kutupa vibe...
 
Back
Top Bottom