Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Jamaa anajituma sana, kuna mambo kidogo yanahitajika ya kiufundi, tangu mechi na utopolo wachezaji wetu wamechezewa kishirikina, sasa ndo wanaanza kurudi kawaida moja hadi mojaHuyu beleke sijui skuizi amepatwa na nini
Sent using Jamii Forums mobile app