FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

Tunavyosema hakuna wa kumuondoa Chama pale Simba kwaSasa ni kwenye mechi kama izi.
Simba kwasasa hawajapata mbadala wa Chama, wanahangaika kama kuku aliye katwa kichwa.
Mchukue wewe.
Asipokuwa na Nidhamu hakuna namna
 
Screenshot_20240105-230922~2.png

Msimamo wa kundi letu
 
Back
Top Bottom