FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

Simba inatia matumaini,wachezaji ari imerudi hata wakidraw haiumizi unajua wamepambana sio kama vile mwanzoni.

Mda unavyoenda tutamsahau Chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una maoni gani mechi dhidi ya KMC ndugu mshabiki? Haya maneno yalisemwa kwenye mechi dhidi ya Wydad halafu kwenye mechi dhidi ya KNC mkanuna tena. Maji kupwa maji kujaa
 
APR si wabaya, uto ajipange vilivyo kwenye robo fainali, kama vipi wamwite baba yao Pacome.
 
Yanga akiwa anachezesha kikosi cha U-20 ametinga ¼ fainali kwa points 7 sawa na simba aliechezesha kikosi cha CAF(kauka nikuvae). Katika kundi la simba alikuwepo Yeye alietoka kula 5 na Singida ambae ni mteja wa Yanga siku zote so hata Yanga angekuwa kundi hili maana yake angefuzu kwa point hizo hizo 7 kwa maana angekuwa na point 6 kutoka kwa simba na Singida na 1 ya APR. So ukimsikia kolo popote anajisifu ujinga kuwa alikuwa kundi gumu, muangalie tu mnyooshee mkono.
 
Nyie endeleeni kujiona mnaweza kwa kucheza na vikundi vya mpira wa mchangani..ndo maana club bingwa mnaruka ruka tuu
Uto....
 
Jimmyson Mwanuke naye gharasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Jimmyson, Duchu na Chilunda hawana lolote. Duchu hawezi kuwa mbadala wa Kapombe maana hawezi kupeleka mashambilizi mbele na akiwa na mpira hajui afanye nini.

Dogo ambaye ni pure talented ni ISRAH, huyu akipewa muda mwingi wa kucheza atakuja kuwa balaa huko mbeleni.
 
Back
Top Bottom