FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

Nyie mnaong'ang'ana na rotation kwani mnaumwa migongo? Fanyeni huko kwenu msitupangie kwetu...sisi tunaona ipo
Hivi wanataka Simba Sc ichezeshe wachezaji wapi ili ionekane ni rotation? Jana karibia 70% ya kikosi ilikuwa na ya wachezaji ambao mara nyingi hawapati nafasi.

Kennedy, Kazi, Chilunda, Abel, Jimmyson, Chalamba, Israh....

Kuna mtu mwenye akili atasema huo ni full mkoko?

Kwamba ilitakiwa tuchezeshe wachezaji wa mitaa ni sio?
 
jidanganyeee - hiiiii
 
Wanaboaaa...sema kila mchezaji simba anakiwasha ndo maana wanaona wote huwa wanaanza..
 
Jimmyson, Kazi, Duchu, Abel, Chalamba, Kennedy, Israh

Hao wote waliocheza jana ni kikosi cha kwanza Simba Sc? Watu wengine kama mpira hamjui, kaeni jikoni mkate nyanya.
Wanalazimisha maumivu yao na ss tuyapate...wakae na mtimu wao..wasitupangie wakitaka wawaingize na wale yanga prinzezi wacheze pia..
 
Jimmyson, Kazi, Duchu, Abel, Chalamba, Kennedy, Israh

Hao wote waliocheza jana ni kikosi cha kwanza Simba Sc? Watu wengine kama mpira hamjui, kaeni jikoni mkate nyanya.
Hujajibu swali langu la msingi jombaa.

Narudia kwa nyie dark wizad(wachawi weusi)-shahidi CAF. kwa kikosi kilichopo Zanzibar, ukimtoa Inonga, Mzamiru na Kibu, Chama hatumwesabu.

Nani mwingine anakosekana ?
 
Kennedy na Isra watoe kwenye list yako, wamecheza kwenye kikosi cha kwanza mara kadhaa.
Tena Kennedy amecheza sana tu namba ya Inonga
 
Mocha awaachie wapange wao πŸ€“πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…