Match Day.
Simba Vs APR
View attachment 2862204
Msimamo wa Kundi B Ulivyo.
View attachment 2862206
Hii nimetengeneza mwenyewe, hivyo kama kuna error tujuzane.
Hapa Simba tunahitaji tu Draw yoyote ili tuweze kuingia robo fainali.
APR anahitaji kutufunga Goli 4 - 0 ili aweze kuingia robo.
Kitu ambacho hakiwezekani.
Akipata huo ushindi hapo atakuwa kapindua meza kwa Singida FG.
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA.
View attachment 2862791
KIKOSI CHA APR KINACHOANZA.
View attachment 2862793
#nguvumoja#
Game On.
Dakika ya 22
Simba 0-0 APR
Vijana wa Simba wanajitahidi sana kupiga ball