Hauna uwezo wa kumfunga YangaSumba nguvu moja. Leo tunamlamba Azam na kutinga fainali kuwagalagaza Utopolo na kunyakua kombe mwaka huu. Anayebisha ateme mate chini akione kilichomtoa kanga manyoya.
Utopolo mnafungika tu, hamna jipya!Hauna uwezo wa kumfunga Yanga
Leta timu sasaUtopolo mnafungika tu, hamna jipya!
Tushalambwa kimokoKila la kheri Simba sc
Hamna matumainiLeta timu sasa
Tushaliwa kimojaSina imani na Simba yangu, 😢😢😢
Nani kakwambia....?Klabu ya Simba SC itashuka dimbani katika Uwanja wa New Amaan Complex Stadium katika mchezo wa Mapinduzi Cup 2026 hatua ya Nusu Fainali dhidi Azam Fc majira ya saa 8:15 usiku. Mshindi katika mchezo huu atafuzu moja kwa moja hatua ya Fainali ikimsubiri mshindi kati ya Yanga au Singida Black Stars.
Azam Sports 3Wakuu Hii mechi inaonyeshwa chaneli ipi kwenye azam tv?
Sitaki hata kuona yaaani, aaaah.Tushaliwa kimoja
Ngoja tuone, tumeongezewa dakika 7 mbili zishakataSitaki hata kuona yaaani, aaaah.