Alitaka kumpasua.Dakika ya 93 Duchu anapata kadi ya pili ya njano na Nyekundu juu kwa kumsonga songa mwamuzi
😅😅😅 Matokeo yake Azama kawalambaSimba nguvu moja. Leo tunamlamba Azam na kutinga fainali kuwagalagaza Utopolo na kunyakua kombe mwaka huu. Anayebisha ateme mate chini akione kilichomtoa kanga manyoya.
Hakuna kituNgoja tuone, tumeongezewa dakika 7 mbili zishakata
MejiiHakuna kitu
Mejiiii akeeMejii
Injinia, Vipi matokeo huko!Simba nguvu moja. Leo tunamlamba Azam na kutinga fainali kuwagalagaza Utopolo na kunyakua kombe mwaka huu. Anayebisha ateme mate chini akione kilichomtoa kanga manyoya.
kikund cha wahuni 😂😂😂Tumelala yoooh!!