Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Mmepigwa kimoja na azamu poleni sana watani zanguHamna matumaini
Mmepigwa kimoja na azamu poleni sana watani zanguHamna matumaini
PoleeSasa huu ni ujinga na upumbavu🚮
Simba Haina WACHEZAJI wanaoendana na UKUBWA WA jina lakeTushalambwa kimoko
Labda ya viaziHii inaisha kwa matuta
Kumbe upo, niceMejiiii akee
Yamecheza rafu sana, kadi za njano 6 umeme juu. Aliyewaroga alifia Pemba 2001Refa kawabeba saana KOLOZ. Hii ingelikuwa RED CARD ya pili.
Kiko wapiSimba nguvu moja. Leo tunamlamba Azam na kutinga fainali kuwagalagaza Utopolo na kunyakua kombe mwaka huu. Anayebisha ateme mate chini akione kilichomtoa kanga manyoya.
Siyo kweli; yanasaidia sana kupunguza stress kwenye nchi isiyokuwa na mwelekeo wa kueleweka.Haya mambo yanachangia kuleta umaskin
Umeshatolewa jiandae kupanda boti ya saa 4 😀😀Simba nguvu moja. Leo tunamlamba Azam na kutinga fainali kuwagalagaza Utopolo na kunyakua kombe mwaka huu. Anayebisha ateme mate chini akione kilichomtoa kanga manyoya.
NipoooKumbe upo, nice
Nakubaliana na wewe 🤣kikund cha wahuni 😂😂😂