Ilikuwa nje ya boxUyu mwamuzi vipi Tena?? Anabdilisha inakuwa free kick
Timu gani? Ihefu?Hii team mungu tu hamna kikosi
SimbaTimu gani? Ihefu?
Acha apumzike30' Kona inapigwa kuelekea Ihefu FC
Ssituba anaruka juu na kucheza, lakini yupo chini baada ya kupata rabsha, ameinuka mpira unaendelea
Guvu moya 😀Chama