Ushaanza kulalamika nilisema mapemaIhefu wamepaki bus
Daaah Ihefu wanakosaje 😀😀DK 30, Bila bila
Kona Kwa 'Simba almanusura hapa
Guvu moya 😀Leo linaenda kupatikana kubwa jinga la jumamosi
Dilisha dogo January tunamchukua Ndala, bajana na kipre Junior. Jiandae kuliaSimba
Jamani yamekuwa haya tenaJuhudi nyingi..maarifa kidogo
Mwambie Kanoute timu siyo yake,angemwacha tu.Mwalyanzi anakwenda kulee lakini anapigwa stop na Putin Kanoute
🤣🤣🤣🤣 Japo sitizami mechi ila leo Tshishimbi kama kaamka vizuri ,Simba kati wata struggle sana.Guvu moya 😀
Mechi ya biashara hiyo,lazima aonyeshe uwezo🤣🤣🤣🤣 Japo sitizami mechi ila leo Tshishimbi kama kaamka vizuri ,Simba kati wata struggle sana.
Hela ya kumchukua Ndala hamna na ndio maana Yusuph akatibua deal lenu kwa nguvu ya pesa.Dilisha dogo January tunamchukua Ndala, bajana na kipre Junior. Jiandae kulia
Kumbe leteni pesa tu tunapenda msituaibishe kimataifa tutawaongeza na AKAMINKODilisha dogo January tunamchukua Ndala, bajana na kipre Junior. Jiandae kulia
Mechi za mauzo lazima akaze.Mechi ya biashara hiyo,lazima aonyeshe uwezo
Tuache na timu yetu na Pep mneneSimba anashinda hii game, lakini mwanasimba anaye amini msimu huu wanachukua ubingwa na akina kyombo basi aondoe hayo matumaini
Niliwaambia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Japo sitizami mechi ila leo Tshishimbi kama kaamka vizuri ,Simba kati wata struggle sana.
Simba shida wachezaji sio kochaIla Toka aondoke uchebe, Simba tumekosa identity yetu ya uchezaji... Haijulikani tunacheza mpira wa aina gani.. Yaani Kuna mda timu inapooza paka unajiuliza hii ni Simba au...