FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

Hivi okwa alisajiliwa afanye mazoezi kule Mo arena tu?
Tutafute kocha matola atolewe mgunda abakie kuwa kocha msaidizi hiki kikosi sijakielewa
 
Timu inakuwaje na mchezaji mmoja tegemeo kama ngumi?

Guvu moya 😀
Hela hawana msimu huu Azam hela anayo na ndio maana wakatibua kwa Sopu na Ndala,Yanga nao hela wanayo na ndio maana wakamchukua Aziz K.Kama Simba wangefight kuwapata hao wachezaji msimu huu angekuwa wa moto.

Tena kama Yusuph Bakheresa msimu huu alikuwa anatibua mpaka kwa Yanga,sema Yanga kwa Aziz alianza mapema kimfukuzia. Yusuph alikuwa anaenda mwenyewe kuongea na mchezaji.
 
Bilioni 20 tunayo

Guvu moya 😀
 
Back
Top Bottom