FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

45+1' Kuelekea kuwa mapumziko ambapo milango ni migumu

Anaanza golikipa Ssituba mbele kuleee kwake Onyango, kwake Manula

Unapigwa mpira mrefu lakini, unatoka

Naaam mpira ni mapumziko

HT: Simba SC 0-0 Ihefu FC
 
Safari ya Mgunda kurudi kwao Tanga Naona imewadia. Hii Simba ni heri wangecheza Simba Queens
 
Mgunda is not good enough for Simba SC, huu mwenendo wa hii timu hauniridhishi kabisa.

Kama Ihefu wanatutoa jasho hivi, hao wengine itakuwaje?

Uongozi wa Simba SC ujiongeze kabla haijawa too late, hata kama Simba akishinda 1-0 still wont be enough!.
 
Back
Top Bottom