kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Huku nyuma kwasasa Simba Sc imejitosheleza (makipa na mabeki), hapo kati ongezeko la Sarr linawezi kuleta ukamilifu pia, ila kwenye ushambuliaji tuna magarasa sana.Na Baleke naye apishe tu
Makolokolo hamnaga akili kabisa, TV ni kitu gani hasa karne hii hadi kikuzuzue namna hiyo [emoji848] [emoji38]Mtu unaangalia movie kibarazani na umeshasema una familia yako si uangalie sebleni kwenye tv yako
Au labda kama wewe sio kiongozi wa familia ndo kelele zako unaambiwa ukapigie barazani[emoji23]
Wangemwacha abaki angetoka huyu chilunda maana hamna kituBaba casar anaingia
Moses Phiri anaingia
Baleke anatoka
Miquisson anatoka
Wako serious si mchezo😹😹😹mngekua seriouse hivi na kwenye lig basi
Umesaini wewe ??😁😁Makolokolo hamnaga akili kabisa, TV ni kitu gani hasa karne hii hadi kikuzuzue namna hiyo [emoji848] [emoji38]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Socket ikiungua anamuita fundiKwani wasiosoma physics wanatulizaje?
Ujinga huu huu wa physics unaosomwa mashuleni??
Mtu anasoma current electricity, electronics hadi form six na hajui hata kutengeneza radio ikiharibika
Wale wale wabongo kupenda kujikweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu sasa wivu. Hukusoma phyz?
Huyu Sarr tumepigwa aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mechi ishakuwa ngumu hii. Kwa mpira wa hawa madogo tunaweza kuaibika hapaPhiri vipi pale
Mbona anacheza vizuri tuHuyu Sarr tumepigwa aisee 🤣🤣🤣🤣
Kipa wao yupo vizuri, tukienda matatu tunapigikaMechi ishakuwa ngumu hii. Kwa mpira wa hawa madogo tunaweza kuaibika hapa
Unatumia masaburi kuona?Huyu Sarr tumepigwa aisee 🤣🤣🤣🤣
Watoto wanaupiga mpira sio poa wanajitaidi sana!!! Simba ni kubwa lakini hawa watoto sio wabaya