FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

Babakar Sarr. Inn
Miquisonne Out.
Saidoo Out
Phiri Inn
 
Na Baleke naye apishe tu
Huku nyuma kwasasa Simba Sc imejitosheleza (makipa na mabeki), hapo kati ongezeko la Sarr linawezi kuleta ukamilifu pia, ila kwenye ushambuliaji tuna magarasa sana.

Matokeo yake ni team kucheza mpira mwingi bila kuwa madhara yoyote yale.
 
Mtu unaangalia movie kibarazani na umeshasema una familia yako si uangalie sebleni kwenye tv yako

Au labda kama wewe sio kiongozi wa familia ndo kelele zako unaambiwa ukapigie barazani[emoji23]
Makolokolo hamnaga akili kabisa, TV ni kitu gani hasa karne hii hadi kikuzuzue namna hiyo [emoji848] [emoji38]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwani wasiosoma physics wanatulizaje?


Ujinga huu huu wa physics unaosomwa mashuleni??

Mtu anasoma current electricity, electronics hadi form six na hajui hata kutengeneza radio ikiharibika
Socket ikiungua anamuita fundi
 
Watoto wanaupiga mpira sio poa wanajitaidi sana!!! Simba ni kubwa lakini hawa watoto sio wabaya

Ukubwa wa SSC upo

JAMHUR NAYO

TUTAONA NA SINGIDA

YANGA ANGEWAFUNGA HIZI TAKATAKA ZOTE
 
Back
Top Bottom