joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kumbuka ww umechezesha 80% ya timu yako,halafu unacheza hivi.Haya tupo tutakumbushana tuu humu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee mtani mwenye pasi mpenyezo si ungeonesha jana, ilikuaje ukafurushwaa??
Japo Yanga walituudhi sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee mtani mwenye pasi mpenyezo si ungeonesha jana, ilikuaje ukafurushwaa??
Ila kwenu mmechezesha % ipi? Hivi kwan wachezaji wote wa yanga waliocheza mapinduzi sio lolote ndani ya team?Kumbuka ww umechezesha 80% ya timu yako,halafu unacheza hivi.Haya tupo tutakumbushana tuu humu.
Ila kwenu mpaka sasa hamna mtu wa kumuweka nje Chama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Japo Yanga walituudhi sana.
Angalau wewe huwa sikuoni ukiponda kabla ya ushindi. Kuna wenzio wanafiki sana huwa wanaiponda team yao na wachezaji mpaka wakifunga ...
Lomalisa pekee ndiye aliye anza.Ila kwenu mmechezesha % ipi? Hivi kwan wachezaji wote wa yanga waliocheza mapinduzi sio lolote ndani ya team?
Hebu tukubaliane hapa.
Mtabaki hivyo hivyo! Fluke haiji mara mbiliDerby ya wahanga wa 5G
Ungekuwa JK au baba yake na Haji lazima ungejua maana ya derby!Derby ya wahanga wa 5G
Kwani hamkupigwa 5G?Ungekuwa JK au baba yake na Haji lazima ungejua maana ya derby!
Ilishakuwa Historia,kwani nyie mlishazilipa zile 5-0 achilia mbali zile 6Kwani hamkupigwa 5G?
AsanteAhsanteee mtaniiiii!!!
Ila poleee kwa jana, maumivu yake ni makali.
Ilikua Derby ya wahanga wa mnaraIlishakuwa Historia,kwani nyie mlishazilipa zile 5-0 achilia mbali zile 6
Mpinzani unatakiwa kumkabili kulingana na anavyokuja. Huo ndio mpira mkuu.Kwa aina hii ya game .
Kutoboa inaweza kuwa kazi sana
Unajua maana ya derby au unajiandikia tu?ndio maana nakwambia ungekuwa JK au baba yake Haji usingeandika huu upuuziIlikua Derby ya wahanga wa mnara
Derby maana yake ni timu zinazo fanana uwezoUnajua maana ya derby au unajiandikia tu?ndio maana nakwambia ungekuwa JK au baba yake Haji usingeandika huu upuuzi
Kwa jibu Hilo umejirahidi sana maana wewe sio JK wala Mzee Sunday ManaraDerby maana yake ni timu zinazo fanana uwezo
Mbona umeandika takataka. Yanga hakuwa kwenye haya mashindano?Ukubwa wa SSC upo
JAMHUR NAYO
TUTAONA NA SINGIDA
YANGA ANGEWAFUNGA HIZI TAKATAKA ZOTE