FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee mtani mwenye pasi mpenyezo si ungeonesha jana, ilikuaje ukafurushwaa??
Kumbuka ww umechezesha 80% ya timu yako,halafu unacheza hivi.Haya tupo tutakumbushana tuu humu.

Ila kwenu mpaka sasa hamna mtu wa kumuweka nje Chama.
 
Ila kwenu mmechezesha % ipi? Hivi kwan wachezaji wote wa yanga waliocheza mapinduzi sio lolote ndani ya team?

Hebu tukubaliane hapa.
 
Lomalisa pekee ndiye aliye anza.

Kweli mtu chake ila tupo humu. Juzi tulibishana kuhusu Chama ila leo umejionea.
 
Back
Top Bottom