joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kumbuka ww umechezesha 80% ya timu yako,halafu unacheza hivi.Haya tupo tutakumbushana tuu humu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee mtani mwenye pasi mpenyezo si ungeonesha jana, ilikuaje ukafurushwaa??
Ila kwenu mpaka sasa hamna mtu wa kumuweka nje Chama.