Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Tupo kwa kombe la Mapinduzi halafu we unakumbushia ligi ya bahasha 😂Yumbisha dishi lako nikuongeze tena [emoji4]View attachment 2865705View attachment 2865706
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Chukueni kombe hilo.Kwahiyo?
Tunachukua.Chukueni kombe hilo.
Kitu pekee mtakachokuwa nacho 2024
Si ndio ameingia ama?Huyu Chilunda atoke hatufai kabisa
kama APR vileMpaka muda huu hawa jamaa walikuwa wameshachakaa 5G
Anakosaje kama pale?Si ndio ameingia ama?
Not sure.Tunachukua.
Nilikuwa nalaumu Bocco kupewa nafasi ikiwa vijana kama Chilunda wapo kikosini, ila baada ya mechi kadhaa za Mapinduzi nimegungua ni afadhali ya Bocco kuliko huyu kiazi.Huyu Chilunda atoke hatufai kabisa
Kwani wasiosoma physics wanatulizaje?Hujacheza mpira inaonyesha. Utawezaje kutuliza mpira uliopigwa kama sio kwa kutumia hesabu/physics?
Ah huyu jamaa namchukia kwenye maamuzi yake ya kipumbavu sijui anahisi asipofunga hatopewa mkatabaSaidoo hana faida kwenye Simba Sc hii, sijui kuna nini ambacho wengine hukiona kwake.
Udhaifu wake mkubwa ni kupoteza pasi kila anapopewa.
Kwani ilikatazwa?Ivi kumbe mkubwa kaweka ful mkoko
Not sure.
Ila sio mbaya 100M sio haba
Sihangaikagi na Makolokolo kabisa, niko zangu home kibarazani naangalia muvi tu hapa...[emoji1787]Angalia mpira wewe kwasukwasu bila sisi ungekua huangalii mpira sahv[emoji16][emoji16]
Kanuni zinasemaje? Hawa waandaaji wana upendeleo sana!Ivi kumbe mkubwa kaweka ful mkoko