FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

Attachments

  • IMG-20240107-WA0064.jpg
    IMG-20240107-WA0064.jpg
    66.9 KB · Views: 1
Kisogino cha Baleke kwa Miquisson kilikuwa kikali
 
Simba hata hivyo tunashambulia kwa kasi sana
 
Nilikuwa nalaumu Bocco kupewa nafasi ikiwa vijana kama Chilunda wapo kikosini, ila baada ya mechi kadhaa za Mapinduzi nimegungua ni afadhali ya Bocco kuliko huyu kiazi.
Huyo kijana amekosa utulivu kabisa yani
 
Saidoo hana faida kwenye Simba Sc hii, sijui kuna nini ambacho wengine hukiona kwake.

Udhaifu wake mkubwa ni kupoteza pasi kila anapopewa.
Ah huyu jamaa namchukia kwenye maamuzi yake ya kipumbavu sijui anahisi asipofunga hatopewa mkataba
 
Back
Top Bottom