FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had machoziii. Yaan div 1 ya 7 had 12??
Yes, kuanzia point 13 na kuendelea waache waende halmashauri kudhulumu fedha za wananchi na kujenga madaraja na barabara feki😆

Unajua vitu vingine vina logic rahisi sana. Angalia money circulation iliyopo kwenye mpira ikiwa pamoja na mishahara ya wachezaji halafu linganisha mishahara mbuzi ya vijana wanaopata hizo Div. 1 na kuajiriwa serikalini huko.
 
Back
Top Bottom