Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Sio kwa ubaya ila nimewaza kama angekuepo kibu d huku pembeni angechonga ile kuross???😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote hao waliitwa kwa ajili ya nusu fainali mkiamin kabisa mnamchomoa APRHakuna kitu kama hicho.
Tungekuwa seriaz kama nyie.
Max, Pacome, Yao, Aucho, Sureboy,
Mkude wangecheza.
Hawajanikosea chochote na hakuna sehemu nimewakashfu, ila ni wazi kuwa kuna watu hawapaswi kuruhusiwa kufanya hiyo kazi.Mkuu bodaboda wamekukosea nini??
Miquissone ana akili ya mpira yule, huwezi kumlinganisha na Kibu.Sio kwa ubaya ila nimewaza kama angekuepo kibu d huku pembeni angechonga ile kuross???😁😁
Si unaona sasaMakolokolo 1 limeshatoka shimoni kama yale Magaidi yaliyopo kule Gaza baada ya kupigwa kwenye mshono [emoji38]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Tunajenga timu ya ushindani[emoji123]Mko seriaz sana!!
Huyu ndo aanze ile winga kuleMiquissone ana akili ya mpira yule, huwezi kumlinganisha na Kibu.
😂Kwa umbumbumbu wako Kocha gani ambaye angesema hataki kombe ilihali ni mambo ya ki-muungano? Ebu kua kiakili hata kwa 0.0001% tu we Makolokolo [emoji847]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo unamaanisha Yanga Sc si lolote bila hao wachezaji 7 walioenda AFCON?Kwa umbumbumbu wako Kocha gani ambaye angesema hataki kombe ilihali ni mambo ya ki-muungano? Ebu kua kiakili hata kwa 0.0001% tu we Makolokolo![]()
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ukomo wa akili ni matusi, Makolokolo mnajaa upepo kindezi sana hamna vifua vya uvumilivu kimatani kabisa, eti nawe ni Kiongozi wa familia daaah...[emoji848][emoji28]S
Si unaona sasa
Kabla hata sijafungua nilijua tu utaandika kama umepata stroke
Huna point umekazania shimoni
Unataka kusema APR wamecheza na shimo la Yanga?[emoji16][emoji23]
Huyo kiongozi wa familia ni weweUkomo wa akili ni matusi, Makolokolo mnajaa upepo kindezi sana hamna vifua vya uvumilivu kimatani kabisa, eti nawe ni Kiongozi wa familia daaah...[emoji848][emoji28]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Yumbisha dishi lako nikuongeze tena [emoji4][emoji23]
Kwahiyo?Hakuna kitu kama hicho.
Tungekuwa seriaz kama nyie.
Max, Pacome, Yao, Aucho, Sureboy,
Mkude wangecheza.
Umbumbumbu unakutesa sana Makolokolo, hujiulizi ukoo wenu wote ni Makolokolo tu hakuna hata Utopolo mmoja ili usiwe na utaahira namna hii...[emoji848][emoji23]Huyo kiongozi wa familia ni wewe
Utajijua na shimo lako
Cha msingi ni kua umetoka kwenye haya mashindano na upo kuiweka bidhaa sokoni kwenye uzi wa simba [emoji16][emoji16]
Sababu nini? Au wanataka kurudi Dar kuwafuata Uto...?Simba wamekata moto haraka sana aisee
Saidoo hana faida kwenye Simba Sc hii, sijui kuna nini ambacho wengine hukiona kwake.Huyu saidooo natamani nipewe panga la wachezaji hata leo mbwa yule
Chezaji choyo sijapata ona
Sasa pale ile pasi ya kulia angetoa angekosa nini
Yani bora chama mshahara wa huyu kenge apewe yeye
Mpumbavu mchoyo balaa
Angalia mpira wewe kwasukwasu bila sisi ungekua huangalii mpira sahv😁😁Umbumbumbu unakutesa sana Makolokolo, hujiulizi ukoo wenu wote ni Makolokolo tu hakuna hata Utopolo mmoja ili usiwe na utaahira namna hii...[emoji848][emoji23]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
MnyamaHuku kinajadiliwa nini?