Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Saidoo again
What a stupid mana
What a stupid mana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibarazani wapi wewe kwasukwasu mwanachuoSihangaikagi na Makolokolo kabisa, niko zangu home kibarazani naangalia muvi tu hapa...[emoji1787]View attachment 2865718
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Huna TV utaangaliaje sasa mkuu?Sihangaikagi na Makolokolo kabisa, niko zangu home kibarazani naangalia muvi tu hapa...[emoji1787]View attachment 2865718
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hili ni kosa lako la uchaguzi wa shule mbovu. Sio public cry hii chifuKwani wasiosoma physics wanatulizaje?
Ujinga huu huu wa physics unaosomwa mashuleni??
Mtu anasoma current electricity, electeinics hadi form six na hajui hata kutengeneza radio ikiharibika
Matokeo ya kusoma theory bila application😂😂Utawaweza Sasa vijana wakishashiba magimbi😂😂.
Sasa akina Messi na Ronaldo ambao ni wa nyakati hizi wengi tunawajua walishachungulia hata darasa ukiachilia mbali kupata ALAMA za juu
Hilo ni jeneza?Sihangaikagi na Makolokolo kabisa, niko zangu home kibarazani naangalia muvi tu hapa...[emoji1787]View attachment 2865718
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwa hii simba, Bora Yanga wametoka mapema maana zingejirudia
Wewe uliochagua shule nzuri, sasa unachezea timu gani,?Hili ni kosa lako la uchaguzi wa shule mbovu. Sio public cry hii chifu
Ha ha ha kamaliza assignment kaja kusumbuaKibarazani wapi wewe kwasukwasu mwanachuo
Sema uko chuo gani tululetee fedha ya kujikimu[emoji16][emoji16]
Hizi long pass na penetration pass naiona mipira mingi ikipotea kwa namna hii
Tulisema Baleke ni garasa kuna watu hawaelewi.
Yanga mnajifariji wakati msemaji wenu katoa chozi janaSSC ingekufa 10
Huyu ndio wa kumpisha Babacar Sarr.Saidoo again
What a stupid mana
Saidoo ni babu mwenye nuksi na gundu, simpendi km nn.Huyu saidooo natamani nipewe panga la wachezaji hata leo mbwa yule
Chezaji choyo sijapata ona
Sasa pale ile pasi ya kulia angetoa angekosa nini
Yani bora chama mshahara wa huyu kenge apewe yeye
Mpumbavu mchoyo balaa
Mada hii inahusu mpira wa Simba na Jamhuri hizi hasira nyingine huenda mi hazinihusu mkuu😆Wewe uliochagua shule nzuri, sasa unachezea timu gani,?
InongaIvi kumbe mkubwa kaweka ful mkoko
HahahahaSaidoo ni babu mwenye nuksi na gundu, simpendi km nn.
Ananichefua sanaa.