FT: Simba SC 1-0 JKT Tanzania | ASFC | Benjamin Mkapa

XII Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
4,345
Reaction score
7,076
Mnyama mkali Simba kuvaana na jkt Tanzania kwenye kombe la shirikisho la Azam ASFC, Leo saa 1 kamili usiku.

Kikosi tayari kimewasili uwanjani tayari kutafuta ushindi dhidi ya jkt Tanzania, hope itakua mechi nzuri na ya kuvutia, na yenye kila aina ya ufundi.

Kikosi ni kama kinavyoonekana hapa chini, hivyo for more updates ambatana nami hapa kwa dk zote 90.

=================

00' Mpira unaanza dimba la Benjamin Mkapa kombe la shirikisho la Azam Sports

09' Kanoute yuko chini baada ya kugongana na Ramadhan wa JKT Tanzania

12' JKT wanapiga mpira wa adhabu ndogo nje kidogo ya 18 lango la Simba, mpira unakosa manufaa kwao

26' Kibu Denis anaitanguliza Simba

45+2' Mpira mapumziko, Simba SC 1-0 JKT Tanzania

45' Mpira umerejea kutoka mapumziko

90+3' Mpira umekwisha uwanja wa Mkapa, JKT Tanzania wanaaga michuano ya Shirikisho


0
 
Muispaniolla anajitahid sana kurotate kikosi, na huu ndyo uungwana!

#Simba nguvu moja [emoji123]
 
Sina shaka na kocha, hata angepanga kikosi B bado ningekua naye sambamba
Sema wasituangushe sasa, wasicheze kama walivyocheza na geita gold.
 
Hivi hapa ukifungwa tu si ndo umetoka? Mbona kama kikosi kilaini sana
 
Kocha anaitendea haki sasa falsafa ya kikosi kipana...safi sana
 
Naam! Mpira umeanza so get ready for biriani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…