FT: Simba SC 1-0 JKT Tanzania | ASFC | Benjamin Mkapa

FT: Simba SC 1-0 JKT Tanzania | ASFC | Benjamin Mkapa

Mnyama mkali Simba kuvaana na jkt Tanzania kwenye kombe la shirikisho la Azam ASFC, Leo saa 1 kamili usiku.

Kikosi tayari kimewasili uwanjani tayari kutafuta ushindi dhidi ya jkt Tanzania, hope itakua mechi nzuri na ya kuvutia, na yenye kila aina ya ufundi.

Kikosi ni kama kinavyoonekana hapa chini, hivyo for more updates ambatana nami hapa kwa dk zote 90.
View attachment 2044026
Kwa timu hii simba out , mapemaaa
 
Hiyo nafasi ya Kibu, ningetamani Dancan Nyoni nae acheze. Inapendeza sana timu inavyokuwa na vikosi viwili.

Ila mkitolewa leo na msimu huu Yanga ndio bingwa mtarajiiwa wa ligi kuu msikinukishe.
 
Simba ameanza vizuri, acha tuone kama wataendelea hivi kwa dk zote 90 au ni nguvu ya soda tu
 
Abdul samady, jimmyson

Hao kama kikosi B vile???
 
Mipira inapotea kidwanzi sana pale mbele.
 
Huyu Sakho,Peter Banda inamaana nawao mnawalipia Residence na work permits kweli?

Anyway Mtanzania mwenye asili ya Congo 🇨🇩 kafunga
 
Back
Top Bottom