FT: Simba SC 1-0 JKT Tanzania | ASFC | Benjamin Mkapa

Kwa timu hii simba out , mapemaaa
 
Hiyo nafasi ya Kibu, ningetamani Dancan Nyoni nae acheze. Inapendeza sana timu inavyokuwa na vikosi viwili.

Ila mkitolewa leo na msimu huu Yanga ndio bingwa mtarajiiwa wa ligi kuu msikinukishe.
 
Simba ameanza vizuri, acha tuone kama wataendelea hivi kwa dk zote 90 au ni nguvu ya soda tu
 
Abdul samady, jimmyson

Hao kama kikosi B vile???
 
Mipira inapotea kidwanzi sana pale mbele.
 
Huyu Sakho,Peter Banda inamaana nawao mnawalipia Residence na work permits kweli?

Anyway Mtanzania mwenye asili ya Congo 🇨🇩 kafunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…