kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,451
- 2,059
54' Simba 1-0 JKTMnyama hajaongeza La pili huko....!
Utopolo Waendelee Kukosa raha..
Naye tumpe muda lakini watafanya kazi sana kutushawishi kwa nini asajiriwe kwa kiwango hiki!Sakho na Banda tuwape muda ila Kibu hapana.
Kibu yupo vizur ila aongeze utulivu tu akiwa uwanjan,Jamaa huwa anapata nafas nying sana lakin sas huwa anapupa kweny maamuz uwanjan..Sakho na Banda tuwape muda ila Kibu hapana.
yaani ana pupa halafu yupo vizuri. huo uzuri ni upi?Kibu yupo vizur ila aongeze utulivu tu akiwa uwanjan,Jamaa huwa anapata nafas nying sana lakin sas huwa anapupa kweny maamuz uwanjan..
Ni hizo pupayaani ana pupa halafu yupo vizuri. huo uzuri ni upi?
ndio uzuri wake?Ni hizo pupa
Uzuri upo mkuu kuna vitu mtu unawez ukaviongeza au ukavipunguza na ukawa mzur,mapungufu yake ndy hayo ambay nimeyasema mchezaj hawez akawa perfect asilimia zote,yaani ana pupa halafu yupo vizuri. huo uzuri ni upi?
you said it....Jamaa ana mbio , nguv na hata driblling kwa kias fulan yupo vizur
hee! kumbe unafuatilia?Timu yetu mwaka huu imejaza magarasa