FT: Simba SC 1-0 JKT Tanzania | ASFC | Benjamin Mkapa

Uzuri upo mkuu kuna vitu mtu unawez ukaviongeza au ukavipunguza na ukawa mzur,mapungufu yake ndy hayo ambay nimeyasema mchezaj hawez akawa perfect asilimia zote,
Jamaa ana mbio , nguv na hata driblling kwa kias fulan yupo vizur
basi alitakiwa kuwa Geita Gold akajifunze hayo, sio Simba Sc. Simba ni timu kubwa
 
Mwaka huu timu yetu ya kuunga unga, tujitahidi angalau tushike nafasi ya tatu
 
Daah huyu Mwinuke ,Banda, Sakho ,Duncan wawe wanapewa hata dakika 20 kila Game ili wawe na confidence Zaid ,Hawa madogo Ni balaa hasa Mwinuke na Banda Hawa Ni hazina kwa Simba watatusaidia Sana mbelen huko .
Bocco
Nyoni
Wawa
Hawa viumbe Ni muda wa kuwapa mkono wa kwa heri na kuwafanyia party la Maana kwa mchango wao kwenye Simba yetu.
Nitashangaa Hawa wazee Kama wataendelea kubakia pale lunyasi
 
nakubaliana na wewe 100%
 
nakubaliana na wewe 100%
Wawa bado ni mzuri.
Sakho mwepesi sana na hana nguvu na ni majeruhi.
Dancan Nyoni hana nguvu,kasi na utulivu ila mpira anaujua. Aongeze mazoezi.
Wageni wakuondoka ni
Mugalu
Sakho
Sakho mechi ngumu kama za Prizoni, Yanga, Namungo, Biashara, dodoma jiji, Azam, KMC hawezi kuonekana kabisa.
Mwinuke na Banda wapewe mechi nyingi watakuja kutisha muda sio mrefu sana.
 
Hivi utopolo wanaweza kutuiga kuanza na wachezaji nane ambao sio kikosi cha kwanza
Ukiacha ushabiki YANGA wana wachezaji wazuri kuzidi SIMBA. Hata hivyo SIMBA hana first 11. Kama unaijua ipange hapa watu waione, otherwise SIMBA bado hawajui nani acheze na nani akae nje na hii ni kutokana na wachezajo wengi kutokuwa Bora.
 
Ukiacha ushabiki YANGA wana wachezaji wazuri kuzidi SIMBA. Hata hivyo SIMBA hana first 11. Kama unaijua ipange hapa watu waione, otherwise SIMBA bado hawajui nani acheze na nani akae nje na hii ni kutokana na wachezajo wengi kutokuwa Bora.
Leo wameanza wachezaji nane ambao hawakuanza jumamosi. Ubora wenu uko wapi wakati mlikuwa mnapoteza muda ili mechi iishe na kama sio hisani ya marefa wa gsm msingekuwa mnaonekana jukwaani
 
Waandishi na wachambuzi wa michezo katika nchi zao waliwashangaa Sakho na Banda kuja kucheza ligi ya Tanzania badala ya kwenda Ulaya. Sisi tunawashangaa waliwezaje kutushawishi Simba tukawasajili
Ulaya hao wakacheze team gani ikiwa mtibwa tu hawapati number

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…