Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi alitakiwa kuwa Geita Gold akajifunze hayo, sio Simba Sc. Simba ni timu kubwaUzuri upo mkuu kuna vitu mtu unawez ukaviongeza au ukavipunguza na ukawa mzur,mapungufu yake ndy hayo ambay nimeyasema mchezaj hawez akawa perfect asilimia zote,
Jamaa ana mbio , nguv na hata driblling kwa kias fulan yupo vizur
Wooooooooooyoooooo!Ful time simba 1 JKT 0
Mwaka huu timu yetu ya kuunga unga, tujitahidi angalau tushike nafasi ya tatu
Huyo hapaswi kuendelea kukaa simba!Ndio maana nina hofu kuna watu hawana akili timamu,tazama alichofanya Kakolanya
Sawa Uto na bendi yenu ile ya wacongo.Mwaka huu timu yetu ya kuunga unga, tujitahidi angalau tushike nafasi ya tatu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Timu yetu mwaka huu imejaza magarasa
nakubaliana na wewe 100%Daah huyu Mwinuke ,Banda, Sakho ,Duncan wawe wanapewa hata dakika 20 kila Game ili wawe na confidence Zaid ,Hawa madogo Ni balaa hasa Mwinuke na Banda Hawa Ni hazina kwa Simba watatusaidia Sana mbelen huko .
Bocco
Nyoni
Wawa
Hawa viumbe Ni muda wa kuwapa mkono wa kwa heri na kuwafanyia party la Maana kwa mchango wao kwenye Simba yetu.
Nitashangaa Hawa wazee Kama wataendelea kubakia pale lunyasi
Wawa bado ni mzuri.nakubaliana na wewe 100%
Ukiacha ushabiki YANGA wana wachezaji wazuri kuzidi SIMBA. Hata hivyo SIMBA hana first 11. Kama unaijua ipange hapa watu waione, otherwise SIMBA bado hawajui nani acheze na nani akae nje na hii ni kutokana na wachezajo wengi kutokuwa Bora.Hivi utopolo wanaweza kutuiga kuanza na wachezaji nane ambao sio kikosi cha kwanza
Leo wameanza wachezaji nane ambao hawakuanza jumamosi. Ubora wenu uko wapi wakati mlikuwa mnapoteza muda ili mechi iishe na kama sio hisani ya marefa wa gsm msingekuwa mnaonekana jukwaaniUkiacha ushabiki YANGA wana wachezaji wazuri kuzidi SIMBA. Hata hivyo SIMBA hana first 11. Kama unaijua ipange hapa watu waione, otherwise SIMBA bado hawajui nani acheze na nani akae nje na hii ni kutokana na wachezajo wengi kutokuwa Bora.
Ametoka Gwambina uyo dogokweli huyo Jimmyson ni nani au Error kwenye kuandika
Sanko na banda hakuna wachezajiHuyu Sakho,Peter Banda inamaana nawao mnawalipia Residence na work permits kweli?
Anyway Mtanzania mwenye asili ya Congo [emoji1078] kafunga
Ulaya hao wakacheze team gani ikiwa mtibwa tu hawapati numberWaandishi na wachambuzi wa michezo katika nchi zao waliwashangaa Sakho na Banda kuja kucheza ligi ya Tanzania badala ya kwenda Ulaya. Sisi tunawashangaa waliwezaje kutushawishi Simba tukawasajili
DuhHii performance ya Banda&Sakho ni ya kikosi cha kwanza .
mchezaji ni makambo