FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Simba Sports wanashuka dimbani kwenye soku ya mkesha wa krisimasi kumenyana na maafande wa JKT katika dimba la KMC

Je, Dozi ya goli 5 alizotoa Simba kwa Kagera ataendeleza kwa maafande?

Mechi ni Saa 10:15 jioni kupitia Azam Sports 1HD

Usikose uhondo huo
 
Nasikitika hii mechi sita iangalia nitakuwa bize sana.

Shilingi moja atakamata
Kamara
2. Aanze Nouma Valentino
3. Kapombe- Kijiri ni mapepe sana, hajatulia kabisa sijui ni kwa nini.
4. Hamza- mdogo wangu Che Mallone ajitafakari kwanza kwa kutufungisha mala kwa mala kimataifa.
5. Chamou
6. Ngoma Fabris
7. Dr. Lucho Fundi
8. Kagoma
9. Attebaaaa
10. Mavambo Fernandez
11. Mpanzu.
 
5imba Guvu Moya wapigwe kama ngoma.
 
Leo tunashinda ila baada ya hapo wachezi wanaenda kula gambe taree 28 tutakutana na tawi la utopolo singinda tujiandae kwa kilio maana ndio tumain pekee lililo baki kwa utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…