FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

Attachments

  • 1734932159787.jpg
    1734932159787.jpg
    205.1 KB · Views: 1
Simba Sports wanashuka dimbani kwenye soku ya mkesha wa krisimasi kumenyana na maafande wa JKT katika dimba la KMC

Je, Dozi ya goli 5 alizotoa Simba kwa Kagera ataendeleza kwa maafande?

Mechi ni Saa 10:15 jioni kupitia Azam Sports 1HD

Usikose uhondo huo
Jibu ni ndio,kama kawaida yao dozi inaendelea....
 
Simba Sports wanashuka dimbani kwenye soku ya mkesha wa krisimasi kumenyana na maafande wa JKT katika dimba la KMC

Je, Dozi ya goli 5 alizotoa Simba kwa Kagera ataendeleza kwa maafande?

Mechi ni Saa 10:15 jioni kupitia Azam Sports 1HD

Usikose uhondo huo
Juzi alikutana na vibonde ,JKt ya sahivi goli 5 wasahau labdah yatokee mengine
 
Simba Sports wanashuka dimbani kwenye soku ya mkesha wa krisimasi kumenyana na maafande wa JKT katika dimba la KMC

Je, Dozi ya goli 5 alizotoa Simba kwa Kagera ataendeleza kwa maafande?

Mechi ni Saa 10:15 jioni kupitia Azam Sports 1HD

Usikose uhondo huo
Hapa hamna goli tano....
 
Back
Top Bottom