FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

Nimeamina bongo hakuna wachambuzi mahili wa sako wengi wao wanaongozwa na ushabiki..

Kiukweli leo simba imebebwa ile haikuwa penati hata kidogo. Wachambuzi wengi wanajifichia ktk sheria ya mchezaji kufanyiwa faulo ndani ya eneo la penati na kushindwa kuangalia kama huyo aliofanyiwa faulo alikuwa na possibility ya kuucheza uwo mpira au hata kuukalibia. Kwa hili lililotokea lea haikustaili kuwa penati hata kidogo
 
Ubaya Ubwe.......!
Ndio huu
hatucheki na vyula wa chooni.
vyula wanavyo nuna ndio furaha yetu.
 
Nimeirudia upya kuiangalia hii picha nimesikitika sana

1735079632211.jpeg

Kumbe Mpumelelo aliona jinsi Nape anavyofunga kwa mkono afu akachuna pasipo hata kumwambia refa kuwa sio goli.

Kinachoniuma sio yeye kula buyu.

Ni kutokana na hapo juzi tu alikuwa Church anaombewa na mchungaji.

Wengi tuliamini baada ya pale tutamuona akiishi katika misingi ya dini.

Lakini leo Mpumelelo amesahau yote hayo ameamua kushiriki haramu ambayo ni dhambi katika maadili ya Mungu.

Nape anafunga kwa mkono nawe unamuangalia, laana hii ikikurudia usianze kuwasumbua wachungaji tena.
 
Nimeamina bongo hakuna wachambuzi mahili wa sako wengi wao wanaongozwa na ushabiki..

Kiukweli leo simba imebebwa ile haikuwa penati hata kidogo. Wachambuzi wengi wanajifichia ktk sheria ya mchezaji kufanyiwa faulo ndani ya eneo la penati na kushindwa kuangalia kama huyo aliofanyiwa faulo alikuwa na possibility ya kuucheza uwo mpira au hata kuukalibia. Kwa hili lililotokea lea haikustaili kuwa penati hata kidogo
Utopolo hawajifichi😁
 
Ww nyuma mwiko mbna unaweweseka hv
 
Mwingine huyu.
 
Faulo ni faulo hata kama hakuna posibility ya kuucheza. Ukifanya faulo ndani ya 18 unaadhibiwa kwa pigo la penati
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nimeamina bongo hakuna wachambuzi mahili wa sako wengi wao wanaongozwa na ushabiki..

Kiukweli leo simba imebebwa ile haikuwa penati hata kidogo. Wachambuzi wengi wanajifichia ktk sheria ya mchezaji kufanyiwa faulo ndani ya eneo la penati na kushindwa kuangalia kama huyo aliofanyiwa faulo alikuwa na possibility ya kuucheza uwo mpira au hata kuukalibia. Kwa hili lililotokea lea haikustaili kuwa penati hata kidogo
Uliza kwanza sheria za mpira.
Naona memkwa wa soka anajaribu kukosoa maamuzi sahihi ya refa.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom