Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Unateseka ukiwa wapi ndugu?Timu kama Jkt unatoa ulimi nje,unabaki kutegemea mwamuzi akubebe ndio ushinde na bado unasema unautaka ubingwa kwa stahili iyo🚮🚮
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unateseka ukiwa wapi ndugu?Timu kama Jkt unatoa ulimi nje,unabaki kutegemea mwamuzi akubebe ndio ushinde na bado unasema unautaka ubingwa kwa stahili iyo🚮🚮
Ile siyo penaltySimba ile ni penati pasina shaka, na lile la yanga ule mkono dhahiri shahiri, ila kwa kuwa wabongo tuna uzwazwa linapokuja suala la simba na yanga, basi watu watapigizana kelele.
Hujui mpira masta, tafuta mchezo mwingine ushabikie, tazama hizo takwimu halafu uone kama Simba hakupiga mpira mwingi. Wewe ni utopolo unayeugulia maumivu, si kama mechi yenu na Coastal ambayo mlipewa goli la offside la Baleke na mpira mlichezewaNilitegemea ushindi mkubwa na mpira mwingi ila imekuwa tofauti
Simba wamepewa penati halali, sio kama nyie mnapewa magoli ya mkono na offside kama la Baleke vs Coastal, wakati wapinzani wenu wananyimwa magoli halali kama lile la Ken Gold ambalo linafanana na mlilofungwa na TP Mazembe, la Mazembe lilikubaliwa lakini la Ken Gold likakataliwaSimba ata ije na sera ya penalty, Bado Wana Safari ndefu kutwaa Ubingwa.
Kwasasa hakuna Ubingwa wa ujanja ujanja nafasi Yao ya msimu uliopita ipo palepale kama wata jikaza.
Katafute mchezo mwingine wa kushabikia kama unaona hii si penati halali. Vipi goli lenu dhidi ya Coastal,mbona lilikuwa offside ya wazi?We mbumbumbu acha kujificha kichakani
Goli unalosema ni la mkono lilikuwa goli la 4
Halikiwa goli pekee la ushindi
Makolo wamepewa goli la penalty hewa
Lifutwe basi, rudi ukaangalie lile tukuio vizur tena ujiridhishe ndio uje na umbumbumbu wakoWe mbumbumbu acha kujificha kichakani
Goli unalosema ni la mkono lilikuwa goli la 4
Halikiwa goli pekee la ushindi
Makolo wamepewa goli la penalty hewa
Hajui kama alipofunga kwa mkono ina athari kubwa sana kwani Baca alikuwa na kadi ya njano hivyo alitakiwa kupewa kadi nyingine ya njano na nyekundu ambapo Yanga wangecheza pungufu na angekosa pia mechi nyingine na kama tunavyojua Yanga bila Baca ndio yanaweza kutokea yale yale ya Tabora UnitedLifutwe basi, rudi ukaangalie lile tukuio vizur tena ujiridhishe ndio uje na umbumbumbu wako
Ila Duu leo hata mimi nisiye zijua sheria za boli, kwa kuunganisha nukta unapata jibu la alama ya kuuliza ?Mzee bakhalesa kawekeza pesa nyingi kwenye timu yake😂😂 sisi simba na mbulula yanga tumewekeza kwenye marefa😂 mkisema hili la leo kumbukeni la kwenu la mikono
ww mwisho wako MAKUNDU-CHI kule CAFCLweKUNDU tu!!!
CafCCww mwisho wako MAKUNDU-CHI kule CAFCL
Ile siyo penalty
Aliyechewa faulo hakuwa na mpira