FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

Vipi ulikuwa jela?
WAdogo zangu shida yenu mnapenda kusikiliza maoni ya wanaojiita wachambuzi. Mlivyo na akili ndogo mnapewa na vipicha kadhaa mnababebwa kabisa. Hapo nilichomaanisha niletee video inayoonesha goli la mkono limefungwa sio vipicha vya kipropaganda
 
Ushauri wangu umefanyiwa kazi
Kuhusu kumaliza mechi haraka??

Bora hata wewe umeonesha recognition kwa refa. Yule mwenzako hana shukrani kabisa.

Huwezi amini pamoja na kumuandama refa amalize mechi mapema, refa anamaliza mechi anaanza tena kumlaumu refa kwanini anaondoka haraka badala ya kukaa kaa kidogo.

Bora wewe kabisa
 

Attachments

  • muwatwalib-20241224-0001.jpg
    muwatwalib-20241224-0001.jpg
    207.1 KB · Views: 1
Fair play ni kwa wachezaji, refa Fair play yeye inamhusu nini?

Halafu nyie si ndio mlikuwa mnampigia kelele amalize mechi haraka?

Sasa amemaliza mechi kama mlivyotaka anawahi nyumbani, nyie tena mnaibua vimaneno mnataka akae kae uwanjani.

Kweli huwezi kumfurahisha binadamu.
Kama ingekuwa refa hausiki na fair play,why siku hizi mpira ukimgonga refa why anawapa advantage waliokuwa wakiumiliki mpira? Maana zamani ilikuwa hamna.

Kuna sehemu nimelalamika refa amalize mpira haraka?
 
Back
Top Bottom