FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

Kwa mujibu wa mangungu makolo ni kikosi cha B7 ila ili kushinda lazima milioni 1 Kwa refa,Asante sana
 
Maoni au maumivu?Unalialia nini?Jifunze urefa uchezeshe wewe gongowazi.
🤣🤣🤣

Loooh we jamaa timu unayoshabikia inakufanya vibaya sasa. Unakua na kautindio fulani unakosa kosa raha kwa visababu vidogo vidogo.
 
Limemkumbatia kapombe utafikiri mke wake alafu linataka referee alichekee... Sio penalty tu mpaka punyetor tunapga
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
20241115_115008.jpg
 
Back
Top Bottom