FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

Cha msingi umekoment
1000211276.jpg

Chamsingi chomoa mwiko wako tartibu
 
Rafarii alikuwa familia tokea mwanzo,,nilijua tu aidha itolewe penalty ya mchongo ama red card,,maana mtu kabanwa mpaka katoa ulimi nje
Maumivu unayopitia ni makubwa sana, goli la dk za mwisho linauma sana
 

Attachments

  • muwatwalib-20241224-0001.jpg
    muwatwalib-20241224-0001.jpg
    207.1 KB · Views: 1
Refa anajaribu kwa kila namna kulipa fadhila lakini hawabebeki hawa jamaa.

Yaani refu wanazochezewa jkt ila hiyu mzee ndiyo vile kashakula mlungula mfukoni aibu sana
Yule jamaa yako ambaye mlikuwa wote pamoja kwenye safari yenu ya kuicheka Simba, tayari kafanya vitu vya Usain Bolt.

Nimejaribu kupitia records zake na kujiridhisha pasipo na shaka kuwa kwa mbio zake yule jamaa haji leo.

Ila kama utapata nafasi ya kuwasliana naye mwambie akimbie zaidi ili akatuangalizie 2025 iko vipi.
 
Back
Top Bottom