Nilipe nisepe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 446
- 971
Kila siku marefa wanaochezesha mechi ya Makolo wanakimbia baada ya kumalizaa mpira,kwani shida ni nini???..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule UTI inamsumbua+ant biotics kali. Lazima awe legelegeHuyu sio Azizi Ki
Yule refa huenda ni Utopolo.. alikuwa amevaa kitenge cha black & white kama cha UtopoloRafarii alikuwa familia tokea mwanzo,,nilijua tu aidha itolewe penalty ya mchongo ama red card,,maana mtu kabanwa mpaka katoa ulimi nje
UEndelee kuchomeka huko nyuma kwako ulipoutoaHarafu nikuchomekee ww
weKUNDU tu!!!UEndelee kuchomeka huko nyuma kwako ulipoutoa
Wanaobanwaga na kutoa ulimi nje huwa hawafungi penati...maana mtu kabanwa mpaka katoa ulimi nje
Baba Bado umevaa Chupi leoKwa sisi tuliopitia mafunzo ya JKT, hakika tutaiombea heri kwenye mchezo wao wa leo.
Wanaobanwa wanajiweka kama KijiliWanaobanwaga na kutoa ulimi nje huwa hawafungi penati...
Mkumbuke Azizi walivyokosa penati kwa nyuki wa Tabora ndo utajua waliobanwa hadi kutoa ulimi nje wanavyokuwaga.
Pole kwa maumivu uliyoyapata baada ya nyavu kutikiswa na mtu makini Ahoua.
Kweli, sisi twategemea sindano na magoli ya mikono kushindaWe kolo sisi hatutegemei penalty kushinda
Nimeinjoi sana, kipa kapelekewa moto na atalala hoi, timu imefungwa lakini Man of The Match ni kipa.Najua umeumia sana maana ulitegemea drawUme-enjoy mpira wa leo?
Nilitegemea ushindi mkubwa na mpira mwingi ila imekuwa tofautiNimeinjoi sana, kipa kapelekewa moto na atalala hoi, timu imefungwa lakini Man of The Match ni kipa.Najua umeumia sana maana ulitegemea draw
Timu kama Jkt unatoa ulimi nje,unabaki kutegemea mwamuzi akubebe ndio ushinde na bado unasema unautaka ubingwa kwa stahili iyo🚮🚮Wanaobanwaga na kutoa ulimi nje huwa hawafungi penati...
Mkumbuke Azizi walivyokosa penati kwa nyuki wa Tabora ndo utajua waliobanwa hadi kutoa ulimi nje wanavyokuwaga.
Pole kwa maumivu uliyoyapata baada ya nyavu kutikiswa na mtu makini Ahoua.
Umefungwa na Tabora United tena chuma 3.Jifunze mpira wacha kuwa shabiki maandazi. Simba ndio timu iliyofunga magoli mengi na kufungwa chache.Kozi ya urefa unamalizia lini?Ukachezeshe.Timu kama Jkt unatoa ulimi nje,unabaki kutegemea mwamuzi akubebe ndio ushinde na bado unasema unautaka ubingwa kwa stahili iyo🚮🚮
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ubaya ubwela mamaeh..Timu kama Jkt unatoa ulimi nje,unabaki kutegemea mwamuzi akubebe ndio ushinde na bado unasema unautaka ubingwa kwa stahili iyo[emoji706][emoji706]
Yamefungwa magoli mangapi ya mkonoIla mnategemea mkono siyo?
Maradona bacca [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie jamaa mnanichekesha sana. Hayo magoli mbona mi siyaoni zaidi ya vipicha vya mchongo na mniambie yamefungwa mangapi hayo magoli ya mkono. Hizo sindano ni propaganda iliyoandaliwa na mtu mmoja tu na nyie mmeishi nayo. Haya komaeniKweli, sisi twategemea sindano na magoli ya mikono kushinda
Nilikiona vema😂Yule refa huenda ni Utopolo.. alikuwa amevaa kitenge cha black & white kama cha Utopolo