Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
nani mkuu?Pigeni huyo hata ban ya miezi sita ili wawe wanajifunza.
Mkuu kesho tukutane ZanzibarKila lenye heri kwa Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports, Lunyasi.
Ushindi wa goli 3 bila unawezekana kabisa. Nguvu MojaView attachment 3309876
Mimi nitakuwa Kisiwandui hapo panapo majaaliwaMkuu kesho tukutane Zanzibar
Kwanza ungeanza kwa kututajia value yako humu JF ni ipi ili nasisi tujue katika hizo siku 3 ambazo utakuwa umekula ban tuweze kupima ni gape la kiwango gani limepungua.
Kumtukana sana Yuda hakukufanyi uwe YesuEe Mungu Simba apigwe za kutosha
Hatulali. Tupo hapa tunalinda uwanjaWatu wanajadili mpira usiku mwingi🤣🤣
Kmmk aliyeturoga kafa
sawa mkuu.Simba ikishinda nipigwe ban ya maisha View attachment 3309894
Weka dua mwanzo utaona mwisho wacha roho ya kwa nnHebu ngoja tuone…
Mwisho wa tambo ni leo: simba leo anakaa: magoli 3 ni machache.Mechi kali ya mkondo wa kwanza Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika inapigwa leo, ambapo Mnyama Simba SC anawakaribisha Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini, katika dimba la Amaan, Visiwani Zanzibar.
Mchezo huo utachezwa kuanzia saa 10:00 jioni.
Kaa karibu kwa Live updates
View attachment 3309868
Usiku Wa Manane..👊👊👊👊Watu wanajadili mpira usiku mwingi🤣🤣
Kmmk aliyeturoga kafa
Kila la heri mnyama.Mechi kali ya mkondo wa kwanza Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika inapigwa leo, ambapo Mnyama Simba SC anawakaribisha Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini, katika dimba la Amaan, Visiwani Zanzibar.
Mchezo huo utachezwa kuanzia saa 10:00 jioni.
Kaa karibu kwa Live updates
View attachment 3309868