mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
kuna watu wanateseka🤣🤣🤣
Kacheze na stend united wewe chura.Mwamposa fc..a.k.a wapakwa futa fc.... Leo Ndio ile SIKU ya kumtukana mukwala na kuomba Ateba acheze😂😂😂🚶
😂Jipakeni na leo hayo mafuta muone.....Kacheze na stend united wewe chura.
Si mnakombe lenu la shirikisho huko na niinyi mpo nusu fainali.😂😂😂
Go Thimba, guvu moya. Walllah thimba sii mchezo, hata bondeni nabhata mshungu😍
Mkuu hii JayRutty siyo wale wauzaji wa Mabati na Cement pale Bunguruni?Twendeni tukajenge heshima ya mnyama. Mimi kama mwakilishi mkazi wa JayRutty Investments nitakuwepo uwanjani kumwaga mahela kwa wachezaji na mashabiki
Kwani Dangote hauzi cement?Mkuu hii JayRutty siyo wale wauzaji wa Mabati na Cement pale Bunguruni?
MimiSimba anapigwa hii game, nani anabisha?
Hata mimi nauza cement na mabati😆😂Kwani Dangote hauzi cement?