FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

Kwanini mkuu hebu nielimishe
Fifa hawataki mechi zao zozote zichezewe kwenye nyasi bandia, caf wao hatua za awali wanaruhusu ila kuanzia makundi hawaruhusu, ndio kisa cha amaan zanzibar kufungwa ili watoe nyasi bandia waweke za kupanda maana chan isingefanyika kule,
 
Sawa mkuu ndio maana kule CAIRO mechi ikienda half time kunakuwa na vibomba vinafunguliwa kumwagilia uwanja
 
Yanga Leo nao wana mechi lakini wamesahau hata kuanzisha uzi... kweli hawa malayer wamepoteana..
 
IMG-20250420-WA0017.jpg
 
Back
Top Bottom